Mnyama simba baada ya kujeruhiwa hapo jumapili anatarajiwa kuingia mawindoni kesho ya kusaka nyama Motema Pembe ya DR Congo.
Timu ya simba sc ilitua alfajiri ya leo kutokea Misri ambapo wali lala goli tatu kwa bila. Katika mchezo huo ambapo ulimshuhudia Juma Kaseja akichelewesha ushindi kwa wa Moroco kwa kuokoa hatari golini mwake kabla ya kulemewa dakika za lala salama.
Kikosi cha simba kilipewa likizo ya siku moja na kesho wanataraji kuingia kambini kujiweka sawa kabla ya kukutana na Wacongomani hapo Juni 12 katika dimba la uwanja wa Taifa.
Simba itapapambana na DC Motema Pembe baada ya kukubali kichapo hapo jumamosi na hivyo kuangukia katika michuano ya kombe la shirikisho katika hatua ya 16 bora.
MCHEZO WA JUMAMOSI DHIDI YA WYDAD.
1. Kocha wa timu ya Wydad amesema, kipa Juma Kaseja pamoja na Shija Mkina ndio walikuwa tatizo kwa timu yao, huku akisema wamechelewa kupata ushindi kutokana na kikosi chake kuwa na kumbukumbu ya kufungwa katika mechi yake ya mwisho wa ligi.
2. Juma Kaseja amesema kuwa wamefungwa magoli ya kizembe, huku akionekana mnyonge baada ya mchezo.
3. Basena amesema kuwa kikosi chake kilifungwa kutokana na kuchoka.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment