Wekundu wa msimbazi, Simba SC wanatarajiwa kuelekea Misri usiku huu kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa Africa dhidi ya Wydad ya Morocco.
Mchezo huo utachezwa siku ya jumamosi mei 28 katika uwanja wa Petrosport uliopo jijini Cairo kuanzia saa 12 kamili jioni kwa saa za Misri.
Simba inaondoka na msafara wa watu 27 huku ukiongozwa na mjumbe wa kamati ya Utendaji wa TFF Muhsin Balabuu.
Raisi wa TFF, Leodger Tenga amewatakia kila la kheri Simba katika mchezo huo, huku akisema mchezo huo ni muhimu katika kulitangaza soka la bongo.
Wachezaji watakao elekea Misri ni Juma Kaseja Juma, Ally Mustapha, Salum Kanoni, Ramadhani Haruna Shamte, Juma Jabu, Juma Nyosso, Amir Maftah, Kelvin Yondani, Hillarry Echesa, Mohamed Banka, Jerry Santo, Nicholas Nyagawa, Salim Aziz Gilla, Shija Mkina, Ally Ahmed Shiboli, Mussa Hassan Mgosi, Amri Kiemba pamoja na Emmanuel Okwi.
Viongozi na benchi la uvundi watakaoambatana na timu hiyo ni mwenyekiti Ismail Aden Rage, Makamu mwenyekiti Geofrey Nyange Kaburu, katibu wa timu Evodius Mtawala, Joseph Matore, Cosmas Kapinga, Mosses Basena, Amatre Richard, Abdallah Kibaden Mputa na Iddi Pazi.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment