Leo ndio tamata inafikiwa ya Kili Taifa Cup 2011 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume ambapo kutakuwa na mpambano baina ya wakuu wa mikoa wa Mwanza na Mbeya ambapo kila mmoja ana imani na kikosi chake.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro yeye atofika uwanjani kwa kuwa shughuli za kiofisi zina mbana lakini katuma wajumbe wake huku akijinasibu kutoka na Ushindi katika fainali ya leo.
Wakati mwenzaka wa Mbeya John Mwakipesile anatarajiwa kuwepo uwanjani leo kuwatia nguvu vijana wake wa Mbeya ili wamcharaze Kandoro.
Mchezo wa leo ambao utaanza saa 9 na nusu alasiri utashuhudia bingwa akiondoka na kitita cha tsh milion 40, huku wa pili akiondoka na milioni 20. Wakati mfungaji bora akiondoka na milioni 2.
Mwanza na Mbeya wote walikuwa wenyeji katika hatua ya makundi na wote walivuka bila ya kupoteza pointi. Mbeya waliichalaza Ruvuma na Kagera katika hatua ya Robo na Nusu fainali wakati Mwanza wakiwachalaza Arusha na Ilala katika hatua hizo.
UFUNGAJI BORA.
Burudani nyingine katika fainali ya leo ni nyota waliotamba yanga na Taifa Stars kufukuzana kwa ukaribu katika kuhakikisha ana ibuka mfungaji bora.
Gaudence Mwaikimba anae chezea timu ya Kagera Sugar aliendeleza kasi yake ya kufumania nyavu katika mashindano haya ya kili taifa cup baada ya Ngassa kumpiku katika ligi kuu ya vodacom. Mwaikimba ambaye alionekana si chochote alipokuwa yanga na kupoteza nafasi katika timu ya Taifa anaongoza kwa kutikisa nyavu mara 7 katika mashindano haya.
Jerry Tegete anae tamba na klabu ya yanga lakini amekosa nafasi katika kikosi cha Poulsen ametikisa nyavu mara 6 katika michuano hii inayoendelea.
Jerry Tegete na Mwaikimbia ndio pekee wanaofukuzia mfungaji bora na jawabu litapatikana leo baada ya dakika 90 kwisha. Je Tegete atafanikiwa kumpiku Mwaikimba?
aamsuni

0 comments:
Post a Comment