Timu ya simba ya jijini Dar es salaam watakuwa na kibarua kigumu hapo jumamosi watakapo wavaa waarabu toka Moroco, Wydad katika nchi ya kiarabu, Misri na waamuzi wamchezo huo pia ni waarabu toka Misri.
Wiki iliyopita timu ya TP Mazembe kupitia viongozi wake waliishtumu CAF, kwa kuzibeba timu za kiarabu na hilo lilidhihirishwa baada ya CAF kuteua Misri kama Neutral ground katika mchezo kati ya Simba (Tanzania) na Wydad (Morocco) kama hiyo haitoshi mpambano huo umetangazwa kuchezeshwa na waamuzi toka Misri. Kwa sura ya nnje waweza sema Simba wa kiwa 11 watawavaa Wydad ambao wanaweza wakawa 13.
Waamuzi walitouliwa kuchezesha mpambano baina ya Simba na Wydad utakao chezwa katika uwanja wa Petrosport saa 12 jioni kwa majira ya Misri ni Farouk Mohamed atakayepuliza filimbi wakati wasaidizi wake ni Mohamed Waleed na Hassan Sherif. Mwamuzi wa mezani (fourth official) ni Omar Fahim wakati Kamishna wa mchezo huo ni Magdy Shams El Din kutoka Sudan.
Timu itakayo shinda itaingia kundi B ambalo lina timu za Al Ahly ya Misri, Esperance ya Tunisia na Moloudia Club d’Alger ya Algeria.
Timu itakayofungwa watacheza na Daring Club Motema Pembe ya DRC kati ya Juni 10 , 11 na 12 mwaka huu katika kombe la shirikisho hatua ya 16 bora, huku akianzia nyumbani.
Msafara wa simba utaongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Muhsin Balhabou.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment