Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars, Jan Poulsein ameshindwa kuita kikosi cha Taifa stars híi leo.
Kipa wa Azam FC, Mwidin Ally ni miongoni mwa nyota wachache ambao mashabiki wa soka la Bongo wanalingoja katika timu ya Taifa, ambayo Poulsein kashindwa kutangaza nyota watakao vaa Morocco.
Kwa taarifa ya chini ya kapeti inasemakana kuwa kocha wa Taifa stars hayupo nchini na hivyo kupelekea kuwa ngumu kutangaza nyota watakao ingia kambini jumatano semptember 28 mwaka huu, teyari kwa mpambano dhidi ya Morocco.
Katika hatua nyingine, Taifa stars inatafutiwa mchezo wa kirafiki wakati wana kwenda Morocco.
0 comments:
Post a Comment