TFF

Nyepesi nyepesi: Clouds kusimamia soka la ufukweni

Kampuni ya uburudishaji ya Clouds imepewa jukumu la kusimamia mpira wa miguu wa ufukweni 'Beach Soccer' nchi nzima.

Kwa mujibu wa taarifa zilizo naswa na Aboodmsuni zinasema kuwa Clouds imepewa jukumu hilo na Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF baada ya kupeleka maombi hayo ambayo yamekubaliwa na kwa kuanzia wataanza wa Dar es salaam na kufuata mikoa mingine yenye uwezo wa kuchezwa mchezo huo wa Ufukweni.

Taarifa hiyo inaeleza pia wako mbioni kuomba jukumu la kusimamia mashindano ya Soka la Ufukweni 'Beach Soccer' ya ukanda wa Afrika mashariki na Kati, ambapo shughuli zake za soka zinasimamiwa na CECAFA.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.