Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars wanatarajiwa kuondoka nchini hapo juni 3 kuelekea Jamhuri ya Africa ya Kati (CAR), kwa ajili ya mchezo wa kufuzu mataifa ya Africa yatakayo fanyika nchini Gabon wakishirikiana na Equaterial Guine mapema mwakani.
Taifa stars itawakabili Jamhuri ya Africa ya kati juni 5 ukiwa mchezo wa nne wa kufuzu, katika kundi lake ambalo kila timu inapoint nne baada ya kuteremka mara nne.
Nyota wa Taifa stars wanao cheza nnje ya nchi wanatarajiwa kuanza kuripoti leo mpaka mei 30, ambao ni Nizar Khalfan, Danny Mrwanda, Abdi Kassim, Henry Joseph, Athuman Machupa, Idrisa Rajabu na Mbwana Samatta.
Katika hatua nyingine Tff wamesema uwamuzi wa wachezaji walio itwa katika timu ya vijana chini ya miaka 23 pamoja na Taifa stars, timu ya kuichezea ipo mikononi mwa kocha mkuu Poulsen.
Wachezaji hao ni Shaban Kado, Mrisho Ngassa, pamoja na Mbwana Samatta. Timu ya taifa ya vijana watakuwa na kibarua siku hiyo katika uwanja wa Taifa pale watakapo wakaribisha vijana wenzao kutoka Nigeria katika mchezo wa kusaka nafasi ya kushiriki michuano ya Olympic hapo Mwakani.
aamsuni

0 comments:
Post a Comment