UWANJA WA KARUME
Azam Academy walikwaana na Simba B katika mchezo wa kumuenzi Raisi wa kwanza wa Zanzibar Karume katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo ulimalizika kwa Simba B kulala kwa goli 2-1 toka kwa Azam Academy.
UWANJA WA USHINDI
Wachezaji wa Mikovilla wakifanya Mazoezi kabla ya Mchezo
Katika uwanja wa Shule ya Msingi Ushindi iliopo Mikocheni jijini Dar es salaam ulishuhudia timu ya Mikovila iliyo kuwa na baadhi ya nyota wanaotarajiwa kuiwakilisha Mikovilla katika michuano ya Copa Coca Cola, iliibuka na ushindi mnono wa goli 3-0, katika muendelezo wa michezo ya kombe la mbuzi.
0 comments:
Post a Comment