yanga

Yanga yakanusha usajili wa Kapombe


Shomari Kapombe

Uongozi wa Yanga imekanusha taarifa zilizo zagaa za kumnasa chipukizi wa Simba Shomari Kapombe na hayuko kwenye mipango yao.

Afisa habari wa Yanga Luis Sendeu amesema kuwa bado hajapoke taarifa yoyote kuhusiana na usajili wa Shomari Kapombe anae husishwa kujiunga na yanga toka katika kamati usika (kamati ya usajili), na usajili wa yanga unafanywa kulingana na mapendekezo aliyoyaacha Kocha Papic na kamati nzima ya ufundi.

Taarifa toka kwenye kamati ya usajili ya yanga zilizoifikia Sports In Bongo leo zinasema kwamba Kapombe hayumo katika rada za Yanga

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.