yanga

YANGA YAWAKILISHA USAJILI, MSUVA NA DUMAYO WASAJILIWA KIKOSI B

Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji  28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi.

Katibu mkuu wa Young Africans Mwesigwa Selestine amesema wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, na hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.

Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo, umeambatana na usajili wa wachezaji wa timu ya vijana U-20 ambapo majina ya wachezaji mahiri wa timu ya Taifa Saimon Msuva na Frank Domayo yamewekwa huko.
 


Usajili  kamili kwa timu ya wakubwa

Walinda Mlango:
Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed
 

Walinzi wa pemebeni:
Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika
 

Walinzi wa kati:
Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo
 

Viungo wa ulinzi:
Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela
 

Viungo wa pembeni:
Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme
 

Viungo washambuliaji:
Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari
 

Washambuliaji:
Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete



 

Kikosi cha U-20 
 
Walinda Mlango
Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul
 

Walinzi: 
Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said
 

Viungo: 
Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah

Washambuliaji wa pembeni: 

Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu
 

Washambuliaji: 
Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo


 

NB: Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa

 


Source: www.youngafricans.co.tz

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.