Abdallah Swamad ameteuliwa kuwa kipa katika kikosi cha wachezaji 11 waliofanya vyema katika michuano ya kombe la mapinduzi iliyoshirikisha timu 8 toka visiwani Zanzibar, Bara na Kenya, ambapo timu 4 ndizo zilizotoa wachezaji kwenye kikosi hicho ambazo ni Miembeni wa tatu, Tusker wa tatu,,Simba na Azam fc kila moja wakitowa wawili na mmoja kutoka Coastal union.
Kikosi hicho kinaunwa na;
1. ABDALLAH SWAMAD -MIEMBENI
2. HIMID MAO - AZAM FC
3. ADEYUM AHMED - MIEMBENI
4. SALUM JUMA - MIEMBENI
5. MBWANA HAMISI - COASTAL UNION
6. KHALID AUCHO - TUSKER
7. HARUNA ATHUMAN - SIMBA SC
8. HUMPHREY MENO --AZAM FC
9. JESSE WERE - TUSKER
10. HARUNA MOSHI - SIMBA SC
11. ROBERT OMONUKE - TUSKER
0 comments:
Post a Comment