AZAM WAIENDEA ZANZIBAR YANGA

Mabingwa mara mbili mfululizo wa kombe la mapinduzi Azam fc hii leo wameelekea Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya yanga unaotarajiwa kuchezwa jumamosi february 23 katika uwanja wa Taifa.

Azam na yanga wakiwa wanapoint sawa, yanga wakiwa kileleni kwa tofauti na magoli ya kufunga na kufungwa wanataraji kukutana jumamosi katika muendelezo wa ligi kuu ya vodacom.

Yanga wao wako Bagamoyo wakijianda na mchezo huo, huku azam wakitua leo kwenye visiwa vya karafuu.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.