Bausi ambaye amepewa jukumu la kuinusu lyon na janga la kushuka daraja hii leo amesema kuwa atakuwa teyari kujiudhulu kama atathibitisha tetesi za kudaiwa wachezaji wake kupokea hongo.
Bausi alisema kuwa amepata kusikia kuwa kuna wachezaji katika kikosi chake wanahujumu timu yake na kusema kuwa ilo linaweza kudhibitishwa na mazingira ya goli la 4 la yanga katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa taifa hapo jumatano february 13.
Bausi anasiku nane toka ajiunge na klabu ya African lyon na ameiongoza lyon katika vichapo vya goli 2-0 toka kwa Prisons na goli 4-0 toka kwa Yanga.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment