Coastal union leo waliwakaribisha JKT Oljoro katika uwanja wa CCM Mkwakwani na kufanikawa kuvuna point zote 3 katika mchezo huo.
Coastal walipata goli lao la kwanza katika dakika ya 12 kupitia kwa Selemani Kassim Selembe goli lililodumu kipindi chote cha kwanza.
Katika kipindi cha pili coastal waliitimisha kalamu ya magoli kupitia kwa kapteni wa timu hiyo Jerry Santos aliyeipatia coastal goli 2 na kupelekea mchezo kumlizika kwa coastal kuibuka na ushindi wa goli 2-0.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment