JKT Ruvu walialikwa katika uwanja wa CCM Mkwakwani na mgambo shooting katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom, ambapo mchezo huo ulimalizika kwa mgambo kushinda goli 1-0.
Mgambo shooting walipata goli lao la ushindi katika dakika ya 25 kupitia kwa John Maganga.
Mchezo mwingine wa ligi kuu ya vodacom ulichezwa katika uwanja wa CCM Sokoine ya Mbeya ambapo Prisons ya Mbeya waliwakaribisha Polisi Morogoro mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment