JAMHURI WAENDA ETHIOPIA NA WIMBO WA WATANZANIA

Wawakilishi pekee wa Zanzibar katika michuano inayoandaliwa na shirikisho la soka barani Africa (CAF) Jamhuri ya kisiwani Pemba imeondoka leo na kuelekea Addis Ababa ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa marejeano ya ligi ya mabingwa Afrika.

Jamhuri imeondoka uku wakiomba dua za wadau wa soka nchini ambao ni utaratibu wa timu zote za Tanzania zikielekea katika michezo ya kimataifa.

Jamhuri watakuwa na kibarua cha kusaka goli 4-0 mabhngwa wa Ethiopia St. George baada ya kukubali kufungwa goli 3-0 katika uwanja wa Gombani wiki mbili zilizopita.

--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.