[MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZA LA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com ]
Coastal union kesho watakuwa katika uwanja wa CCM Mkwakwani kuwakabili JKT Oljoro wakati Kagera sugar watakuwa wenyeji wa ruvushooting na simba sc wakisafiri mpaka Mbeya kuwafuata prisons.
COASTA UNION Vs JKT OLJORO
Baada ya kupoteza point 5 katika kanda ya ziwa coastal union imerejea jijini Tanga kuwangoja JKT Oljoro ambao wametokea kupokea kichapo cha goli 2-0 toka kwa ndugu zao mgambo shooting katika uwanja a mkwakwani.
Coastal yenye dhamira ya kushika nafasi za juu watakuwa na kibarua toka kwa Oljoro ambayo ndio kwanza msimu wake wa pili katika ligi kuu ya vodacon.
Endapo coastal ikishinda na simba kwenda sare amakufungwa watasogea mpaka katika nafasi ya 3 na kuiachia simba nafasi ya 4.
MICHEZO YA LIGI KUU ITAKAYOCHEZWA KESHO:
PRISONS Vs SIMBA SC, Sokoine Mbeya
JKT RUVU Vs AZAM FC, Azam complex Chamanyi Dar es salaam
COASTAL UNION Vs OLJORO, CCM Mkwakwani Tanga
KAGERA SUGAR Vs RUVU SHOOTING, Kaitaba Kagera
TOTO AFRICA Vs AFRICAN LYON, CCM Kirumba Mwanza
kagera vs ruv shooting
toto vs lyon
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment