Katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya goli 1-1, Bandari waliandika goli la kuongoza katika dakika ya 25 kupitia kwa Mohamed Omary na kuipelekea bandari kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa goli 1-0.
Katika kipindi cha pili Mafunzo walirejea na kupata goli la kusawazisha kupitia kwa Jaku Juma na kupelekea mchezo kwisha kwa sare 1-1.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment