MAFUNZO WATOKA NA USHINDI, WAENDELEA KUWAFUKUZA KMKM

Ligi kuu ya Zanzibar Grand malt (ZGPL) imeendeleo kwa michezo miwili katika vishwa vya pemba na umguja kukishuhudia mafunzo wakiendelea kumfukuzia KMKM katika usukani wa ligi.

Katika uwanja wa Amani kisiwani Ungoja Mafunzo fc waliwakabili Malindi na kufanikiwa kukusanya point zote 3 baada ya kuwazamisha goli 2-1.

Wakati katika uwanja wa Gombani uliopo katika kisiwa cha Pemba ambapo Chipukizi waliwakabili Duma na mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1.

--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.