Akizungumza na waandishi wa habari mchana wa leo katika hoteli wa Movenpik Malikia wa nyuki alisema amefikia uwamuzi wa kumlipa Milovan kwa mapenzi aliyekuwa nayo kwa simba sc.
Milovan anaidai simba sc dola za kimarekani 24000 ambayo sasa italipwa na Malikia wa nyuki.
Malikia huyo wa nyuki amewataka viongozi wa simba kutatua matatizo yaliyopo ndani ya timu yanayopelekea simba kuto kufanya vizuri.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment