MTENDE MBIO ZA SAKAFUNI, WAPEWA KIBAJAJI

Ligi kuu ya Zanzibar grand malt (ZGPL) imeendelea leo kwa mchezo mmoja katika kisiwa cha Unguja kwa kushuhudia Mtende rangers iliyoanza ligi hiyo kwa kasi wakizawadiwa kibajaji.

Mtende rangers iliyokuwa inatazamiwa kuleta changamoto mpya katika ligi kuu ya Zanzibar wakiwa ndio kwanza inashiriki ligi hiyo kwa mara ya kwanza leo wamepokea kichapo cha goli 3-1 walipo wakabili Mundu fc.


[USIUMIZE KICHWA JUU YA TATIZO LA COMPUTER YAKO,
MSUNI COMPUTER SOLUTION
NDIO SULUHISHO LA TATIZO LA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com]

Wakati huo huo timu ya waandirhi wa habari katika visiwa vya Zanzibar wamekubali kichapo cha goli 3-2 toka kwa baraza la wakilishi, mchezo uliochezwa katika uwanja wa Amani kisiwani Unguja.



--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.