Katika mchezo huo wa klabu bingwa Afrika Libolo waliumaliza mchezo katika dakika ya 24 baada ya kufunga goli kupitia kwa Jocou Martins.
Baada ya kuingia kwa goli hilo libnlo walirudi nyuma kulilinda goli hilo na kuanza kushambulia kwa kushtukiza na kufanikiwa kumaliza dakika 90 wakiwa mbele kwa goli hilo.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment