Katika mchezo wa leo toto waliuwanza mchezo vizuri na kucheza kwa uelewano mkubwa na katika dakika ya 25 walifanikiwa kuandika goli la kuongoza kupitia kwa Nondwa Mabavu na kuwaamsha JKT Ruvu walioshindwa kupata goli mpaka timu zinakwenda mapumziko.
Katika kipindi cha pili vijana wa Charles Kilinda JKT Ruvu walirejea kwa kasi na kufanikiwa kupata goli la kusawazisha kupitia kwa Ally Tano, kabla ya Mussa Hassan Mgos kuifungia JKT Ruvu goli la ushindi na kupelekea matokeo ya mwisho kusomekai JKT Ruvu 2- Toto Afrila 1.
Kwa matokeo hayo yanazidi kuiweka toto afrika katika hali mbaya ya kubakia katika ligi kuu ya vodacom.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment