Timu ya taifa ya soka ya watoto wa mitaani hii leo wamefanikiwa kutwa ubingwa waq dunia wa watoto wa mitaani baada ya leo kuwafunga Burundi goli 3-1 katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo.
Mashindano hayo yanayo fanyika kwa mara ya pili baada ya wali kufanyika mwaka 2010 nchini South Afrika na kushuhudia timu ya Tanzania ikimaliza wa pili baada ya kukbali kufungwa katika mchezo wa fainali.
Katika michuano ya mwaka huu iliyofanyika Brazili Tanzania iliwatoa Wamarekani kwa jumla ya goli 6-1, wakti wapinzani wao katika mchezo wafauinali wakiwatoa Pakistani kwa jumla ya magoli 4-3.
0 comments:
Post a Comment