SEKRETARIETI YA TFF YAMPELEKA MICHAEL WAMBURA KAMATI YA MAADILI
Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF inakutana leo Jumatano Machi 14,2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Richard... Mar-14 - 2018
NINJE AKABIDHIWA NGORONGORO HEROES
Kocha Ammy Ninje ameteuliwa kuwa Kocha wa muda wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes)Ninje atakiongoza kikosi hicho kwakuwa Kim Poulsen na Oscar Mirambo... Mar-14 - 2018
NGORONGORO KUWAKABILI MOROCCO WIKIEND HII, STARS KUELEKEA ALGERIA
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Morocco na Msumbuji kabla ya kuwavaa DR Congo katika... Mar-13 - 2018
TWIGA STARS WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUWAVAA ZAMBIA
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika... Mar-13 - 2018
VILABU
SHAURI YA KIPA WA AZAM FC KUSIKILIZWA KESHO
Shauri la kipa wa Azam FC Razak Abalora linataraji kusikilizwa kesho katika ofisi za shirikisho la soka Tanzania baada ya hapo juzi kutoka taarifa ya kusimamishwa kwake kucheza michezo ya ligi kuu... Mar-04 - 2018
MBURUNDI KUIONGOZA CITY Klabu ya Mbeya City imefikia makubaliano na Kocha Nsanzurwimo Ramadhani kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa awali wa Msimu mmoja wa ligi kuu ya Vodacom inayoendelea.
Kocha Ramadhan ni raia wa... Sept-26 - 2017
PHIRI AACHANA NA MBEYA CITY
Klabu ya Mbeya City FC leo tarehe 13.09.2017 imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha Mkuu wake Kinnah F. Phiri.
Kikao cha leo ulikuwa ni muendelezo wa vikao kadhaa baina... Sept-13 - 2017
MAJIMAJI WA MWAGIWA NOTI NA SOKABET
Klabu ya Majimaji ya mkoani Ruvuma wamefanikiwa kupata udhamini toka katika kampuni inayojihusisha na mchezo wa kubashiri ya Sokabet hii leo. Mkataba huo ukiwa ni wa mwaka mmoja.
Majimaji... Sept-04 - 2017