FDL

MATOLA AMCHAPA MINZIRO GOLI 2-1


Aliyekuwa kocha msaaidizi wa Simba SC na mchezaji wa Simba SC Salum Matola leo ameibuka na ushindi mbele ya mchezaji wa zamani  na kocha msaidizi wa Yanga Felix Minziro katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa leo.

Matola anaifundisha Geita Gold ambayo imeichapa goli 2-1 Panone FC inayofundishwa na na Minziro katika mchezo wa ligi daraja la kwanza ambapo Panone FC ndio walikuwa wenyeji wa pambano hilo.

MATOKEO YA LIGI DARAJA LA KWANZA LEO

 JKT Mlale 4 - 1 Polisi Morogoro
 Polisi Mara 1 - 3 Polisi Tabora
 Panone 1 - 2 Geita Gold
 KMC 1 - 0 Kiluvya United
 Mji Mkuu 0 - 1 Africa Lyon
 Polisi Dodoma 1 -2 Friends Rangers
 Lipuli 1 - 2 Kurugenzi FC
 Rhino Rangers 3 - 2 JKT Kanembwa
 Njombe Mji 3 - 2 Kimondo FC

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.