FDL

RUVU SHOOTING WAENDELEA KUTOA DOZI LIGI YA STARS TIMES

Msimamo wa kundi B katika ligi daraja la kwanza inayodhaminiwa na Star Times
Ligi daraja la kwanza inayodhaminiwa na Star Times imeendelea leo kwa michezo mitatu ambapo Ruvu Shooting imeendelea kuonyesha dhamira yao ya kutaka kurejea ligi kuu ya Tanzania bara baada ya leo kuendeleza wimbi lao la ushindi.

Ruvu shooting ya mkoani Pwani leo walikuwa wenyeji wa Burkinafaso ya Morogoro ambapo wameibujka na ushindi wa goli 1-0. na kuwafanya waendelee kuongoza kundi B katika msimamo wa kuti hili katika ligi hiyo inayodhaminiwa na Stars times.

Ligi Daraja la Kwanza linamakundi matatu ambapo kila kinara wakundi atapanda kucheza ligi kuu ya vodacom msimu ujao.

MATOKEO YA MICHEZO YA LEO

Polisi Dar 2 - 3 Ashanti United
Mbao FC 2 - 0 JKT Oljoro
Ruvu Shooting 1 - 0 Burkinafaso

About dada

0 comments:

Powered by Blogger.