TFF TRA YAIREJESHA DAR TAIFA STARS IJAYO kj 10:41:00 PM Add Comment Edit Ziara ya timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) iliyoanzia kanda ya ziwa na kanda ya Magharibi kisha kuendelea katika ... Read More
CECAFA STARS WAONDOLEWA CHALENGE KWA MIKWAJU YA PENATI kj 6:28:00 PM Add Comment Edit Timu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro stars) imeondoshwa katika michuano ya chalenge inayoendelea mjini Awassa nchini Ethiopia na we... Read More
CECAFA ZANZIBAR KUANDAA KOMBE LA KAGAME kj 12:06:00 PM Add Comment Edit CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA ) kimethibitisha kuwa Zanzibar itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe... Read More
CECAFA STARS KUWAKABILI ETHIOPIA CHALENGE kj 12:01:00 PM Add Comment Edit TIMU ya soka Taia ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itacheza na Ethiopia katika robo fainali ya Kombe la Chalenji kesho. Kilimanjaro ... Read More
wachezaji MANULA AFAFANUA KICHA MFANYA AWE MIONGONI MWA MAKIPA HODARI KATIKA SUALA LA PENATI kj 7:53:00 AM Add Comment Edit KIPA namba moja wa timu ya Azam FC, Aishi Manula, amefichua siri ya kudaka penalti nyingi, akidai kuwa kuna mambo makuu matatu huyazingat... Read More
vilabu MIRAJI AENDA KUZIPA PENGP LA SWEDI ALIYEENDA KUZIPA PENGO LA NYOSSO kj 7:16:00 AM Add Comment Edit Beki wa Simba SC Miraji Adam aliyejiunga na Coastal union kuchukuwa nafasi ya Tumba Swedi Wakati kukiwa na taarifa ya kufukuta upya sak... Read More
Mchangani TIMU 24 KUSHUKA UWANJANI KUSAKA NAFASI YA KUSHIRIKI LIGI DARAJA LA KWANZA kj 6:59:00 AM Add Comment Edit Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa timu 24 za makundi A, B, C na D kucheza katika viwanja 12 mbalimbali nc... Read More
CECAFA MAGULI AIONGOZA STARS IKIIIADHIBU SOMALIA kj 4:49:00 PM Add Comment Edit Mshambuliaji wa Stand united Elius Maguli ameendeleza wimbi lake la kufumania nyavu baada ya leo kufunga magoli mawili katika mchezo wake ... Read More
CECAFA KILIMANJARO STARS WAWASILI SALAMA ETHIOPIA kj 3:46:00 PM Add Comment Edit Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ tayari kimewasili Addis Ababa nchini Ethiopia leo alfajiri kikiwa na wachez... Read More
FDL DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA DESEMBER 15 kj 3:40:00 PM Add Comment Edit Kalenda ya dirisha la usajili kwa vilabu vya Ligi Kuu (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) lilofunguliwa Novemb... Read More
simba MAJEGWA KUIBUKA KWENYE MAZOEZI YA SIMBA LEO kj 12:45:00 PM Add Comment Edit Klabu ya Simba inapenda kuwafahamisha kuwa imeridhia ombi la kufanya mazoezi na timu yetu toka kwa mchezaji wa kimataifa wa Uganda Brian M... Read More
CAF STARS WAPIGWA WIKI ALGERIA, MANULA, BATHEZA WAGAWANA kj 11:44:00 PM Add Comment Edit Timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars imekubali kufungwa goli 7-0 toka kwa Algeria katika mchezo wa marejeano uliochezwa nchini Algeria na ... Read More
TFF STARS WAWASILI SALAMA ALGERIA kj 12:42:00 PM Add Comment Edit Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimewasili salama nchini Algeria leo... Read More
CAF ALGERIA WAIKOMALIA STARS TAIFA, WAPATA SARE YA 2-2 kj 6:53:00 PM Add Comment Edit Timu ya taifa ya Al-geria leo wamelazimisha sare ya goli 2-2 na Taifa stars mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.... Read More
vilabu BAKHARESA AJA NA KITU KIPYA KATIKA SOKA LA BONGO, KUAJILI MAKOCHA WAZAWA SI CHINI YA 10 kj 9:47:00 AM Add Comment Edit TIMU ya Azam FC inatarajia kuanzisha mradi mkubwa wa kukuza soka la vijana unaojulikana kama ‘Azam FC Satelite Centre’. Mradi huo utasi... Read More
vilabu PHIRI ATOKEZA MBEYA CITY kj 9:37:00 AM Add Comment Edit Ni takribani mwezi mmoja sasa tangu aliyekuwa kocha mkuu wa Mbeya City Fc (timu ya kizazi kipya) Juma Mwambusi alipotangaza rasmi kuachan... Read More
TFF TIKETI ZA STARS KUANZA KUUZWA KESHO kj 6:25:00 PM Add Comment Edit Tiketi za mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia chini Urusi mwaka 2018 kati ya Tanzania dhidi ya Algeria ziataanza kuuzwa... Read More
simba TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA OKTABA WA SIMBA SC kj 5:52:00 PM Add Comment Edit Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi... Read More
simba MATOLA AJIUZULU TENA SIMBA SC kj 5:46:00 PM Add Comment Edit Kocha msaidizi wa Simba Suleiman Matola jana usiku aliandika barua kwa ajili ya kuomba kujiuzulu kuifundisha kikosi cha Simba. Suleiman ... Read More
TFF KIBADEN KOCHA WA KILI STAR OFFICIALY kj 4:07:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha mkuu wa timu wa Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Star’... Read More