![]() |
Ofisa habari na mawasiliano wa MTWAREFA ndugu Marino Kawishe |
Akizungumza na blog hii m/kti wa chama cha soka Mkoani Mtwara Athuman Kambi amesema fedha hizo zitaaisaidia ndanda fc kulipa madeni pamoja na hotel na vitu vingine ikiwemo posho kwa wachezaji wa timu hiyo kabla ya mchezo wao wao siku ya jumatatu march 24 kwenye uwanja wa Karume dar.
Sanjari na hilo mashabiki wa soka wametakiwa kubeba mabango pekee yakushangilia timu ya Ndanda fc na yakiwa na ujumbe wa kushangalia tu na sio vinginevyo katika mchezo huo.
“tunajua na tunathamini sana mchango wa ushangiliaji wa mashabiki wa ndanda ila tunachowaomba nikubeba mabango yenye ujumbe wakushangilia ndanda fc na sio vinginevyo” amesema Kambi.
Ofisa habari na Mawasiliano
Chama cha soka Mkoni Mtwara MTWAREFA
Marino kawishe. 0713 984439.
0 comments:
Post a Comment