Mkurugenzi
na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf
Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa timu ya watoto wa
mitaani ya Tanzania, Majuto Ismail, jijini Mwanza kabla ya kuondoka
nchini kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia la
watoto wa mitaani. Picha na Moses Mashalla.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment