Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF inakutana leo Jumatano Machi 14,2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo it...
Read More
Home / All post
NINJE AKABIDHIWA NGORONGORO HEROES
Kocha Ammy Ninje ameteuliwa kuwa Kocha wa muda wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) Ninje atakiongo...
Read More
YANGA WATUA SALAMA GABORONE, LWANDAMINA ANENA
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara, Yanga wamewasili salama jijini Gaborone, Botswana hii leo saa tisa alasiri kwa aj...
Read More
KAGERA SUGAR WAICHAPA MWADUI NA KUSOGEA MPAKA NAFASI YA 12
Mabingwa wa zamani wa kombe la Tusker Kagera Sugar wameendelea kujikongoja kukwepa kushuka daraja baada ya leo kufanikiwa kushinda goli 1...
Read More
NGORONGORO KUWAKABILI MOROCCO WIKIEND HII, STARS KUELEKEA ALGERIA
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi...
Read More
TWIGA STARS WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUWAVAA ZAMBIA
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa...
Read More
SERENGETI WAJIAANDA NA CECAFA, U13 KWENDA UBELGIJI
Timu ya Taifa chini ya miaka 16 Serengeti Boys inaendelea kujiandaa na mashindano ya CECAFA kwa vijana yatakayofanyika Burundi. Kikosi hic...
Read More
KOMBE LA TFF KUENDELEA MWISHONI MWA MWEZI
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi Machi katika viwanja vi...
Read More
KIUNGO WA YANGA MCHEZAJI BORA FEBRUARY
Kiungo wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi Kabamba amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Februari 2018. Tsh...
Read More
YANGA YAICHAPA STAND UNITED, YAIKAMATA SIMBA SC
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa kuwafikia Simba SC, baada ya leo kuibuka na ushindi wa goli 3-1 ...
Read More
WATOEKA BENCHI WAIOKOA AZAM FC
Mabingwa wa Afrika mashariki na kati Azam FC hii leo wamefanikiwa kuibuka na ushndi wa goli 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom ulioc...
Read More
MTIBWA SUGAR WACHAPWA, MAJIMAJI WAKITOA SARE
Wakata miwa wa Manungu Mtibwa Sugar leo wamekubali kichapo cha goli 2-1 toka kwa Tanzania Prisons wakati Majimaji FC inayo buluza mkia wak...
Read More
YANAGA YAICHAPA 3 KAGERA, WABAKISHA 3 KUIKAMATA SIMBA SC
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Yanga wameendelea kuifukuza Simba SC katika mbio za ubingwa baada ya leo kufanikiwa kupunguza tof...
Read More
SIMBA YAINGIZA MIL 43 WAKATI YANGA AKIINGIZA MIL 28.8
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Africa uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7,2018 kwenye...
Read More
AZAM WAISHUHSA YANGA, MAJIMAJI HALI MBAYA
Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam FC hii leo wamefanikiwa kuwashusha yanga sc katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom kutoka katika nafas...
Read More
YANGA KUJIULIZA KWA KAGERA SUGAR KESHO
Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga SC kesho watashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuikabili Kagera Sugar katika m...
Read More
NGORONGORO KUJIPIMA NA MOROCCO DAR
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Morocco ,mchezo ut...
Read More
23 WAITWA KUWAVAA ALGERIA
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakocho cheza miche...
Read More
SINGIDA WALAZIMISHA SARE, MBAO WAKICHAPWA SOKOINE
Goli la Kennedy Juma katika dakika ya 74 limeiokoa Singida United kutoka kupoteza mchezo mbele ya Ruvu shooting katika mchezo wa ligi kuu...
Read More
AL-MASRY WAAMBULIA SARE KWA SIMBA, PENATI TATU ZAPIGWA
Mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na Al-masri ya Misri umemealizika kwa sare ya goli 2-2, huku kukishihudia ku...
Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)