CAF

YANGA WATUA SALAMA GABORONE, LWANDAMINA ANENA

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara, Yanga wamewasili salama jijini Gaborone, Botswana hii leo saa tisa alasiri kwa aj...
Read More
VPL

KAGERA SUGAR WAICHAPA MWADUI NA KUSOGEA MPAKA NAFASI YA 12

Mabingwa wa zamani wa kombe la Tusker Kagera Sugar wameendelea kujikongoja kukwepa kushuka daraja baada ya leo kufanikiwa kushinda goli 1...
Read More
TFF

NGORONGORO KUWAKABILI MOROCCO WIKIEND HII, STARS KUELEKEA ALGERIA

Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi...
Read More
TFF

TWIGA STARS WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUWAVAA ZAMBIA

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini katika Hostel za Makao Makuu ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT Mlalakuwa) kujiandaa...
Read More
TFF

SERENGETI WAJIAANDA NA CECAFA, U13 KWENDA UBELGIJI

Timu ya Taifa chini ya miaka 16 Serengeti Boys inaendelea kujiandaa na mashindano ya CECAFA kwa vijana yatakayofanyika Burundi.   Kikosi hic...
Read More
ASFC

KOMBE LA TFF KUENDELEA MWISHONI MWA MWEZI

Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi Machi katika viwanja vi...
Read More
yanga

KIUNGO WA YANGA MCHEZAJI BORA FEBRUARY

Kiungo wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi Kabamba amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Februari 2018.   Tsh...
Read More
VPL

AZAM WAISHUHSA YANGA, MAJIMAJI HALI MBAYA

Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam FC hii leo wamefanikiwa kuwashusha yanga sc katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom kutoka katika nafas...
Read More
VPL

YANGA KUJIULIZA KWA KAGERA SUGAR KESHO

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga SC kesho watashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuikabili Kagera Sugar katika m...
Read More
TFF

NGORONGORO KUJIPIMA NA MOROCCO DAR

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Morocco ,mchezo ut...
Read More
TFF

23 WAITWA KUWAVAA ALGERIA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakocho cheza miche...
Read More
Powered by Blogger.