Simba sc kesho watakuwa katika uwanja wa Caboos sports mjini Oman kuikabili timu ya taifa ya olympik ya Oman.
OKWI APIGWA BEI, SIMBA KUWAKABILI OLYMPIK OMAN
Mshambuliaji toka Uganda aliyewanongonesha mashabiki wa yanga mwishoni mwa msimu wa 2011/12 Emanuel Okwi ameuzwa kwa dola laki 3 kwa klabu ya Etoil de Sahel ya Tunisia wakati timu aliyokuwa anaichezea Simba SC wakitarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki hapo kesgo na timu ya taifa ya Oman iliyoshiki Olympiq.
0 comments:
Post a Comment