Magnli 12 yalifungwa jana latika michezo miwili ya kundi A ya ufunguzi ya michuano ya kombe la mapinduzi iliyoanza hapo jana katika uwanja wa Amani mjini Unguja visiwani Zan9ibar.
Katika mchezo wa awali Tusker,ya Kenya iliwachapa Bandari ya visiwani Zanzrbar goli 5-1, goli la Bandari likifungwa na Amour Janji dakika ya 83.
Magoli ya Tusker yakifungwa na Tesse Ware katika dakika ya 23 na 43, na Ismail Dunga dakika ya 35, Michael Olunga dakika ya 89 na Andrew Tocuwa dakika ya 90.
Katika mchezo wa pili Simba sc ya jijini Dar es salaam waliwachapa goli 4-2 Jamhuri ya kisiwani Pemba. Magoli ya Jamhuri yakifungwa na Mussa Yusuf dakika ya 17 na Mfanyaje Mussa dakika ya 44.
Magoli ya Simba ya kifungwa na Haruna Athuman katika dakika ya 27 na 29, Shomari Kapombe dakika ya 57 na Felixs Sunzu dakika ya 66.
Michuano hiyo inataraji kuendelea leo jioni kwa kuwakutanisha mtibwa sugar wakicheza na miembeni, huku usiku kukiwa na mchezo kati ya azam na coastal union. Michezo yote itapigwa katika uwanja wa amani na ni michezo ya kundi b.

0 comments:
Post a Comment