KIM AITA JESHI LILE LILE, ATAKA STARS ISHIRIKI AFCON 2015

Kocha mkuu wa Taifa stars Kim Poulsein leo ametaja kikosi kitakacho wakabili Cameroun kukiwa hakuna sura mpya katika kikosi hiko, huku akisema malengo yao ni kucheza AFCON 2015.

Kim aliyerejea nchini juzi akitokea Afrika kusini kuwaangalia wapinzani wa Taifa stars katika harakati ya kukata tiketi kucheza kombe la dunia mwakani nchini Brazil ambao ni Morocco na Ivory coast, amesema lengo lao ni kushuhudia Taifa stars ikicheza AFCON 2015 wakati anataja kikosi kitakacho wakabili Cameroun katika mchezo wa kirafiki utakao chezwa february 6.

"Tumetoka kucheza dhidi ya Zambia na Ethiopia lengo ni Taifa stars kucheza AFCON 2015 kwa hiyo mechi dhidi ya Cameroun ni sehemu ya mipango yetu kuhakikisha tumafika huko," alisema Kim.

Kikosi kilichotajwa na KIM POULSEIN;

Makipa
JUMA KASEJA (SIMBA)
MWADINI ALLY (AZAM FC)
AISHI MANULA (AZAM FC)

Mabeki
FRASTO NYONI (AZAM)
SAIDI CHOLO (SIMBA)
AGGREY MORISE (AZAM)
SHOMARI KAPOMBE (SIMBA)
KELVIN YONDANI (YANGA)
ISSA RASHID (MTIBWA SUGAR)
NADIR HAROUB (YANGA)

Viungo
AMIR KIEMBA (SIMBA)
MWINYI KAZIMOTO (SIMBA)
SHABAN NDITI (MTIBWA SUGAR)
SALUM ABOUBAKARI (AZAM)
KHAMISI MCHA (AZAM)
FRANK DOMAYO (YANGA)
ATHUMAN IDDI (YANGA)
SAIMON MSUVA (YANGA)

Washambuliaji
MRISHO NGASSA (SIMBA)
THOMAS ULIMWENGU (TP MAZEMBE)
MBWANA SAMATA (TP MAZEMBE)
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.