MCHA ASALENDA NA KUFUTIWA ADHABU

Mshambuliaji wa Azam fc, Taifa stars na Zanzibar heroes Khamisi Mcha Viali amesalenda kwa kurudisha he walizogawana wacheyaji wa Zanzibar heroes baada ya kukamata nafasi ya 3 ya kombe la chalenge kwa chama cha soka cha Zanzibar ZFA.na kufutiwa adhabu aliyopewa.

Wachezaji wa zanzibar heroes walitakiwa kurejesha hela walizo gawana wenyewe kwa ZFA, kitendo ambacho kimeonekana kuwa kigumu kwa wachezaji wanao cheza bara wakati wa visiwani wakiwa wamerejesha hela hizo.

Kitendo cha kusita wachezaji kurejesha pesa ZFA walitangaza kuafungia wachezaji ambao hawajarejesha adhabu ambayo imekuwa ngumu kutekelezeka kwa wachezaji waliopo bara kwa kuwa TFF kutaka kuijadili na kamati ya nidhamu kabla ya kuanza kazi.

Mbha, Selemani Kasim Selembe wa Coastal union na Saidi Cholo wa Simba walizuiwa kucheza michuano ya mapinduzi ambayo yanasimamiwa na 9fa, lakini Mcha ameondolewa katika kifungo hicho baada ya kurejesha pesa na kuomba radhi.

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.