Yanga wakicheza mchezo wa kwanza toka watoke kwenye kambi nchini Uturuki, ambapo walicheza michezo mitatu ya kirafiki na kupoteza miwili wakitoa sare mchezo mmoja.
Katika mchezo wa jana nnje ya Tegete aliyefunga magoli mawili, goli nyingine la yanga lilifunga na kiungo Frank Dumayo, wakati Leopard moja ya magoli yao lilifungwa kwa mkwaju wa penati.
0 comments:
Post a Comment