Jambo litakalo chukuwa nafasi kubwa katika mkutano huo ulio itishwa ni kupitia na kuirekebisha katiba ya timu hiyo katika kutimiza agizo la Tff kabla ya kuitisha uchaguzi utakao weka viongozi wapya kaika timu hiyo iliyo katika hali mbaya ya kiuchumi.
Toto Africa imeianza vibaya duru la pili kwa kuruhusu magoli 6 kutinga katika nyavu zao huku wao wakifunga mawili na kupoteza michezo yote miwili.
Nnje ya kuwa na matokeo mabovu, jioni ya leo mtanpazaji wa kissfm na radio free africa zenye maskani yake jijini Mwanza akiwa anatangaza mpira kati ya Toto na Azam alisema hali si shwari ndani ya Toto Afrika kutokana na uongozi uliopo madarakani mda wake umekwisha.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment