Azam fc imejikusanyia point 4 katika michezo miwili ya kundi B wakati Mtibwa sugar inayoburuza mkia wakiwa wanapoint moja huku coastal itakayo cheza dhidi ya miembeni yenge point 3 wao wana point 2.
Azam fb watashuka uwanjani bila ya kocha wao Stewar Halll kama ilivyo kwa Miembeni kucheza bila ya kocha wao Salum Bausi wakati Mtibwa sugar wakimkosa beki wao Salum Swedi walio zawadiwa kadi nyekundu katika michezn yao iliyopita.
Azam na Miembeni wao wanahitaji sare wakati Coastal union wanahitaji ushindi waaina yoyote na Mtibwa sugar wakihitaji ushindi wa kuanzi goki 4-0.
COASTAL UNION VS MIEMBENI
AZAM FC VS MTIBWA SUGAR
0 comments:
Post a Comment