AZAM KWENDA, SIMBA WAMESHATUA ZANZIBAR

Mabingwa wa mapinduzi cup azam fc wainataraji kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutetea taji lao la kombe la mapinduzi walilolitwaa hapo mwaka jana.

Azam wailo funga mwaka kwa kutwaa ngao ya hisani jijini Kinshasa DRC walipo alikwa kushiriki mashindmano hayo ya hisani wanataraji kuelekea visiwani humo hapo leo na mchezo wao wa kwanza utachezwa kesho kutwa dhidi ya coastal union.

Wakati azam wakijipanga kuelekea visiwani, wenzao simba teyari wameshatua visiwani humo toka jana wakingoja mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya jamhuri hapo kesho january 2.


MAKUNDI YA MAPINDUZI CUP

KUNDI A
Simba
Tusker
Bandari
Jamhuri

KUNDI B
Azam
Mtibwa sugar
Coastal union
Miembeni


RATIBA YA MAPINDUZI CUP HATUA YA MAKUNDI

02\01\2013
TUSKER VS BANDARI
SIMBA VS JAMHURI

03\01\2013
MTIBWA SUGAR VS MIEMBENI
AZAM VS COASTAL UNION

04\01\2013
JAMHURI VS BANDARI
SIMBA VS TUSKER

05\01\2013
MTIBWA SUGAR VS COASTAL UNION
AZAM VS MIEMBENI

06\01\2013
TUSKER VS JAMHURI
BANDARI VS SIMBA

07\01\2013
MIEMBENI VS COASTAL UNION
MTIBWA SUGAR VS AZAM

michezo ya awali ni saa kumi alasiri na ya pili ni saa mbili usiku

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.