KLABU BINGWA NGUMI KURINDIMA KESHO

Mashindano ya klabu bingwa taifa kwa upande wa ngumi inataraji kuanza kesho katika uwanja wa taifa wa ndani ikishirikisha timu 20 toka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Michuano hiyo itahitimishwa hapo february 3 mwaka huu katika uwanja wa taifa wa ndani ukiopo jijini Dar es salaam.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA COMPUTER YAKO
call us: +255-657-184-421
www.aboodmsuni21.blogspot.com

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.