MSAADA TUTANI: ZFA INATAMBULIKA FIFA KUPITIA SHIRIKISHO LIPI?

Habari za saa hizi wadau wa snka la bongo lenye zengwe kibao na umiza kichwa kwingi. Na napenda kuchukuwa fursa hii kumpongeza Tenga kwa kuzipunguza katika kipindi cha miaka 4 aliyokaa madarakani.

Kila linapo kuja suala la chama cha soka cha Zanzibar ZFA na shirikisho la soka Tanzania TFF napata maswali mengi na moja wapo ni 'ZFA wanatambulika FIFA chini ya nani?'.

ZFA haina wanachama wa FIFA na FIFA wanaitambua Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TFF ndio maana katika michezo ya taifa stars hupigwa nyimbo ya taifa ya muungano na bendera inayopepea ni ya muvngano hivyo iivyo kwa wimbo wa taifa.

Kama ndio hivyo naingia kigugumizi pale ninapo sikia Zanzibar hawana mtwakilishi katika mkutano mkuu wa TFF unajadili mambo mbalimbali ya soka nchini.

Tofauti ya timu ya taifa xa Tanyania bara (Tanganyika) na Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni wachezaji tu. Mdhamini wa taifa stars ni yule yule wa kilimanjaro, hivyo kwa makocha.

Mwishoni mwa mwaka jana ZFA wakitangaza kuwafungia wachezaji wa Zanzibar heroes waliogoma kurejesha fedha walizogawana za mshindi wa tatu, adhabu hizo kwa wachezaji zikasimamishwa na TFF

Moja ya vitu vilivyoturudisha nyuma katika soka ni kushindwa kuufanywa uchezwe Tan9ania n9ima

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.