Kocha wa Azam fc Sterwart Hall amesifia kiwango alicho onyesha mchezaji wa Coastal union xa Tanga aliye wahi kuitumikia timu yake Selemani Kasim Selembe, mara baada ya mpambano wao wa kombe la mapinduzi katika ya azam na coastal union kumalizi kwa sare ya bila kufungana.
Katika mchezo huo uliochezwa jana usiku Selembe alicheza katika kiwango bora huku timu yake ya coastal ikitawala mchezo na kupoteza nafasi kadhaa za kufunga na kumpelekea kocha wa azam kumpongeza mchezaji huyo toka zanzibaq aliyeresha hela na kuwaomba msamaha marhabiki na chama cha soka kwa kitendo cha kugawana pesa za mshindi wa tatu.
Selembe adhabu yake imefutwa ndio maana jana alipata wasaa wa kuwanyanyasa wachezaji wa azam.
Katia mchezo wa awali aliyekuwa kocha wa Zanzibar Herouse Salum Bausi aliendeleza kuonyesha uimarau wake baada ya kuiongoya mabingwa wa zamani wa Zanzibar Miembeni kuwatandika goli 4-1 Mtibwa sugar ya Tanzania bara.
Mtibwa sugar walikuwa wa mwanzo kupata goli kupitia kwa Juma Mpakala katika dakika ya 10. goli hilo lilidumu kwa dakika 14 Miembeni walisawazisha kupitia kwa Mohammed Hamdani.
Miembeni walirejesha mpira kwenye nyavu za mtibwa sugar kupitia kwa Adeyum Saleh Ahmed katika dakika ya 41 na 72, huku Rashid Rkshwa akihhtimisha kalamu ya mabao katika dakika ya 74.
Michuao hiyo inaendelea leo kwa michezo ya kundi a kwa kuwakutanisha jamhuri na bandari jioni saa kumi na saa mbili usiku ni simba na tusker

0 comments:
Post a Comment