Katika mchezo huo simba sc waliruhusu goli hilo katika kipindi cha pili na kukubali kichapo hicho cha goli moja bila.
Simba sc wanataraji kuteremka tena uwanjani january 18 mchezo wa pili wa kirafiki nchini humo dhidi ya timu ya taifa ya jeshi la Oman.
Simba wako nchini Oman kwa ajili ya kambi ya mazoezi kujianda na ligi kuu ya Tanzania bara na klabu bingwa Afrika.
0 comments:
Post a Comment