SIMBA MBELE YA BANDARI, TUSKER NA JAMHURI KUSAKA KUINGIA NUSU

Michuano ya kombe la mapinduzi inataraji kuendele leo kwa michezo ya kuhitimisha hatua ya makundi katika Kundi A, ambapo Simba atakuwa na kibonde Bandari na Tusker akichuana vilivyo na Jamhuri.

Katika kundi hili la A kila timu ina nafasi ya kutinga nusu fainali ukiondoa Bandari walio ondoshwa mashindanoni baada ya kuruhusu jumja ya goli 7 katika nyavu zao na wao kufunga magoli 2 katika michezo miwili iliyo kwisha cheza, watakuwa wanakamilisha ratiba watakapo wakabili Simba, leo.

Jamhuri wanaoshika nafasi ya 3 wakiwa na point 3 wataitaji ushindi wa aina yoyote ule mbele ya Tusker ya Kenxa ili kuwa timu ya kwanza tnka visiwani kukata tiketi ya kutinga nusu fainali katika michuano ya mwaka huu, ulio toa timu 3 huku bara wakitoa timu 4 na moja toka Kenya.

Simba na Tusker wao wanahitaji sare ya aina yoyote ile ili wafanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kukusanya point 4 katika michezo miwili iliyopita, huku Tusker ikiwazidi simba katika toeauti ya magoli ya kufunga na kufungwa Tusker waliwa na 4 na Simba wakhwa na 2

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.