Mchangani

TAARIFA KUTOKA.KCSC 003/13 YA LEO TAREHE 03.01.2013

UONGOZI WA KCSC UNAYO FURAHA KUWAFAHAMISHA WADAU WA MPIRA WA MIGUU KUWA SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 06/01/2013 JIONI SAA 10.30 KUTAKUWA NA MECHI YA KIRAFIKI KATI YA TIMU YETU YA KCSC DHIDI YA TIMU YA MLALAKUWA F.C

MALENGO YA MECHI HII NI KUJENGA URAFIKI , KUPIMA UWEZO WA VIJANA WETU NA KUTOA BURUDANI KWA WAPENDA MICHEZO.

MECHI HII ITACHEZWA KATIKA UWANJA WA VINYAGO- MWENGE BR. YA SAM NUJOMA KARIBU NA ROUND ABOUT UKITOKEA STENDI YA MWENGE

HAKUNA KIINGILIO

WOTE MNAKARIBISHWA

TAARIFA HII IMETOLEWA NA UONGOZI KCSC

About kj

0 comments:

Powered by Blogger.