VPL MBEYA CITY WAENDELEZA UBABE KWA PRISONS, COASTAL WAKILALA kj 7:55:00 PM Add Comment Edit Mbeya city hii leo wameendeleza wimbi la ushindi na kufanikiwa kupunguza tofauti ya pointi baina yake na Yanga waliyo nafasi ya pili wak... Read More
kitaa NDANDA WAPOKELEWA KWA SHANGWE kj 7:50:00 PM Add Comment Edit Wananchi waliokussanyika Nje wa Uwanja wa Ndege wa Mtwara Kuipokea Timu yao ya Ndanda Ikitokea Jijini Dar es Salaam ilipofanikiwa Kuchez... Read More
VPL YANGA YAMKUTA YALIYOMKUTA SIMBA MKWAKWANI, WALA MBILI MGAMBO WAKIWA PUNGUFU kj 7:11:00 PM Add Comment Edit Mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kuutavuna mfupa uliomshindwa Simba SC, baada ya leo kukubali kichapo cha goli 2-1 toka kwa Mgambo shoot... Read More
TFF KAITABA KUTANDIKWA KAPETI kj 2:40:00 PM Add Comment Edit SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limekubali kuweka nyasi bandia katika Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Rais wa Shirikisho la Soka Tanza... Read More
netball MBWENI YATINGA NUSU KWA KISHINDO kj 2:21:00 PM Add Comment Edit TIMU ya netiboli ya JKT Mbweni ilikamilisha michuano ya netiboli hatua ya makundi jana kwa kuitoa Mafunzo ya Zanzibar kwa magoli 54-41 kati... Read More
Mchangani CDA YAANZA VYEMA SITA BORA DOM kj 1:59:00 PM Add Comment Edit TIMU ya soka ya CDA imeanza vizuri hatua ya Sita Bora ya Ligi ya Mkoa wa Dodoma baada ya kuifunga Kikuyu mabao 3-1 katika mchezo mkali ulio... Read More
vilabu BOBAN NA NYOSSO HAWAJATIMULIWA COSTAL UNION kj 10:08:00 PM Add Comment Edit Zimezuka taarifa kuwa klabu ya Coastal Union, inayoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imewatimua wachezaji wake wawili Haruna Mosh... Read More
ngumi MASHALI, KASEBA KUPIMA UZITO KESHO kj 6:08:00 AM Add Comment Edit Mabondia wanaotegemea kupigana jumamosi kugombea ubingwa wa UBO international katika ukumbi wa Karume zamani PTA hall, wakiongozwa na Thom... Read More
vijana TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI kj 10:00:00 PM Add Comment Edit Mkurugenzi na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa tim... Read More
VPL AZAM, YANGA WAENDELEZA USHINDI, TOFAUTI YABAKIA 4 kj 8:44:00 PM Add Comment Edit Azam FC na Yanga wameendelea kufukuzana hii leo baada ya wote kuibuka na ushindi katika michezo yao iliyochezwa katika uwanja wa Taif... Read More
vilabu CHIPO ATETEA KUTEMA WAKONGWE Unknown 4:32:00 PM Add Comment Edit KOCHA Mkuu wa timu ya Coastal Union, Yusuf Chipo amesema baada ya kutokea maneno kwamba timu hiyo hasa wachezaji wakongwe walicheza ovyo dhi... Read More
netball JKT MBWENI MWENDO MDUNDO Unknown 4:30:00 PM Add Comment Edit TIMU ya netiboli ya wanawake ya JKT Mbweni inazidi kung’ara katika michuano ya Afrika Mashariki baada ya jana kushinda katika mchezo wake wa... Read More
VPL AZAM, YANGA KUENDELEA NA MCHAKAMCHAKA KESHO kj 4:29:00 PM Add Comment Edit KLABU za Azam na Yanga ambazo zinachuana kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, zinashuka tena viwanjani kesho (Machi 2... Read More
TFF TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAENDA BRAZIL kj 4:26:00 PM Add Comment Edit TIMU ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kutoka Kituo cha Mwanza imeondoka leo (Machi 26 mwaka huu) kwenda Brazil kushiriki mashindano ya Komb... Read More
TFF KAMATI YA SHERIA KUPITIA MAREKEBISHO YA KATIBA kj 4:24:00 PM Add Comment Edit KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inatarajia kukutana mwishoni mwa wiki kupitia taarifa ya utekel... Read More
TFF TFF KUWAKATA YANGA Mil 106 kj 4:04:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) tumepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na... Read More
kitaa VURUGU MICHEZONI: WAZIRI ANUSURIKA, MJAMZITO AJERUHIWA kj 3:11:00 PM Add Comment Edit NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele pamoja na mjamzito, walipata mshituko na kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea juzi kwenye... Read More
ZGPL KMKM WAICHAPA KIZIMBANI kj 3:09:00 PM Add Comment Edit MAAFANDE wa KMKM juzi walishinda bao 1-0 dhidi ya Kizimbani katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliochezwa kwenye Uwanja wa Amaan mjini U... Read More
netball JKT MBWENI YAANZA VYEMA AFRIKA MASHARIKI kj 3:05:00 PM Add Comment Edit TIMU ya netiboli ya JKT Mbweni jana ilianza vizuri mashindano ya Afrika Mashariki baada ya kuifunga Polisi Uganda kwa bao 42-35 katika mche... Read More
simba COASTAL WAWACHAPA SIMBA KIMOJA Unknown 11:10:00 PM Add Comment Edit Bao pekee la dakika ya 44 lililoingizwa kimiani na beki Hamadi Juma, baada ya kupokea pasi ya mwisho kutoka kwa Razak Khalfan ndilo lililo... Read More
zanzibar Kamati yatengua maamuzi ya ZFA Unknown 3:44:00 PM Add Comment Edit KAMATI ya Rufaa na Usuluhishi ya Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) imeipa ushindi wa pointi tatu timu ya Malindi na kutengua maamuzi ya ZFA Taif... Read More
VPL YANGA, MBEYA CITY WAENDELEA KUIPA PRESHA AZAM, ZASHINDA LEO, KAZI KWA AZAM KESHO kj 8:36:00 PM Add Comment Edit Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeibuka na ushindi na mabao 3 - 0 dhidi ya wenyej... Read More
vijana VILABU 10 VYA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA ILALA Unknown 6:16:00 PM Add Comment Edit timu 10 za mkoa huo kwa ajili ya kukuza vipaji vyao. Mwenyekiti wa IDYOSA, Edwin Mloka alisema mashindano hayo yatafanyika leo kwenye Viwanj... Read More
vilabu IGP MANGU AOMBWA KUISAIDIA POLISI MORO kj 6:14:00 PM Add Comment Edit MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu pamoja na uongozi wa Jeshi hilo, wameombwa kuelekeza nguvu zao kuisaidia kiuchumi tim... Read More
Mchangani Masukuru yafungiwa, yashushwa daraja Mbeya Unknown 6:04:00 PM Add Comment Edit CHAMA cha Soka Mkoa wa Mbeya (MREFA), kimeifungia timu ya Masukuru ya Busokelo wilayani Rungwe kucheza misimu mitatu ya Ligi Daraja la Tatu ... Read More
vilabu NDANDA FC YAPATA TSH MILION 22.5, KUMALIZA MCHEZO WAO NA POLISI YA DAR - KARUME kj 4:57:00 PM Add Comment Edit Ofisa habari na mawasiliano wa MTWAREFA ndugu Marino Kawishe Chama cha soka mkoani mtwara MTWAREFA Kimetoa pongezi za dhati kwa mkuu... Read More
wachezaji TWITE, KAVUMBAGU WAPEWA PEPA LA KUKBAKIA JANGWANI kj 4:53:00 PM Add Comment Edit MBUYU Twite na Didier Kavumbagu wa Yanga wana siku 30 tu za kuitumikia klabu hiyo kabla ya kufanya uamuzi mgumu wa kubaki au kuondoka... Read More
vilabu PRISONS YAICHIMBIA MKWARA YANGA kj 4:51:00 PM Add Comment Edit Na Baraka Mpenja , Dar es salaam MAAFANDE wa Jeshi la Magereza, Tanzania Prisons Maarufu kwa jina la `Wajelajela` wamejichimbia mjini Mo... Read More
VPL VPL KUENDELEA WIKIEND HII, YANGA WAPO TABORA kj 2:58:00 PM Add Comment Edit Yanga inaumana na Rhino Rangers katika moja kati ya mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zitakazochezwa wikiendi hii katika miji miwil... Read More
TFF TIKETI ZA ELEKTONIA KUFANYIWA UTAFITI kj 2:30:00 PM Add Comment Edit Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB zimeunda kikosi kazi (task force) kwa ajili ya kushughulikia matumizi ya tiketi za elek... Read More
simba SIMBA NA YANGA WAPIGWA FAINI YA MILLIONI 25 KWA VURUGU KWENYE YA AL AHLY kj 10:17:00 PM Add Comment Edit Klabu za Yanga na Simba zimeagizwa kulipa jumla ya sh. milioni 25 kutokana na uharibifu wa viti na vurugu zilizofanywa na washabiki wao... Read More
TFF MADADI MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI TFF kj 10:09:00 PM Add Comment Edit Na Boniface Wambura, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi. Uteu... Read More